Journal swahili soir

  • Kinshasa:Yumbi hakli ya maiisha kwa leo kiisha miezi miwili katika jimbo la Mai Ndombe
  • Kinshasa:ushuda wa padri Nestor Longota mzaliwa wa Yumbi
  • Bunia :zaidi ya wakimbizi elfu kumi na tano kutoka inchini Sud Soudan wamefika mtaani Aru katika jimbo la Ituri inchini jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Lubumbashi:Shirika la kiraia la Likasi linashutumu kuongezeka kwa matendo mbovu katika eneo ilo la jimbo la haut Katanga
  • Kinshasa:Martin Fayulu MAdidi amefika mji w aGoma kutoka mjini Butembo katika jimbo la Nord Kivu
  • Goma:kufunguliwa tena kwa mbugha la nyama la Virunga PNVi katika jimbo la Nord Kivu
  • Kananga:kinyume ya mfululizi wa mvua ya siku hizi katika mji mkuu w jimbo la Kasai central./sites/default/files/2019-02/18022019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3