Journal swahili soir

  • Kinshasa :Kufariki kwa msenata Yerodia Abdoulaye Ndombasi
  • Kinshasa:Mjibu ya wafanya siasa kuhusu kufariki kwa msenata Abdoulaye Ndombasi
  • Kinshasa:Ecc ina shutumu uharibifu wa katiba kunako ma baraza za majimbo wakati huu wakuchaguwa wasenata na maliwali
  • Kinshasa:Hali ya masambo ya kesi kuhusu  matokeo ya uchaguzi wa ubunge
  • Kinshasa:Gentini Ngobila ana kanusha shutuma za kuuunga mko kwa mauuwaji kuendeshwa pale Yumbi
  • Lubumbashi:wakaji wa mtaa wa Kamatete wana shutumu kiwanda cha madini  CDM kumwangia manyumba zao na mashamba zao maji kutoka kiwandani mwake ni katika jimbo la Haut Katanga  
  • Uvira:maandamano ya polisi wakidai marupu rupu yao humo jimbo la Sud Kivu./sites/default/files/2019-02/19022019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3