Journal swahili soir

  • Lubumbashi:watu kumi namnane wamfariki na wengine wakumi na wawili kujeuriwa na msiba ya gari pale Tenke Barriere katika jimbo la Lualaba
  • Bunia:MAsumbufu ya wasafiri kwa walinzi wa mbugha la Okapi jimboni Ituri
  • Kinshasa:Atuwa la shauri kuu la ulinzi ya taifaa kuhusu kujiorozesha kwa wa inspekta ya polisi
  • Kinshasa:Mabishano kuhusu ushuru ya madini, na pya mjibu ya mtalhamu  kwa swala ilo
  • Kinshasa:Mda huenda kumalizika kwa wateuliwa ajili ya kazi zisizo ambatana na mda wa kazi wame kuwa na yo sasa./sites/default/files/2019-02/21022019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3