Journal swahili soir

  • Kinshasa:kanisa la Kristu inchini Kongo ya kidemocracia inauunda baraza la kutatuwa mizozo kiisha kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi iliofanyika inchini humu
  • Kinshasa:Martin fayulu Madidi ana kusudia kuleta sulhusho kwa shida kuletwa kwa utangazaji wa matokeo kwa uchaguzi
  • Kinshasa:mwenendo kwa kuuunda serkali mpya ya inchi
  • Kinshasa:mazungmzo kati ya waziri wa byashara injie ya inchi na ujumbe wa umoja wa mainchi za Ulaya kuhusu nyama ya nguruwe yenye kukatziwa inchini humu
  • Goma:Kikao kuelekea mradi mpya ya kupinganisha ugonjwa kwa virusi y' Ebola
  • Goma:maandamano ya chama Lucha kwa kushutumu usalama ndogo mjini goma katika jimbo la nord Kivu./sites/default/files/2019-02/_1127022019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3