Journal swahili soir

  • Kinshasa:Tangazo la kiongozi wa jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Kisangani:Shirka la raia la Lowa ina piga yowe , vita ikomeshwe katika eneo ilo la jimbo la Tshopo
  • Uvira:Watoto jeshi wanee walifikishwa mikononi mwa tawi la usika na watoto kwenye Monusco humo jimbo la Sud Kivu
  • Bunia:Muisho wa mazungmzo kati ya majamaa za pele mtaa wa Djugu jimboni Ituri
  • Beni:MSF na Alima mashirika mbili hizo zina hamisha timu la wafanya kazi ya kupiganisha ugonjwa kwa Ebola katika eneo ilo la jimbo la  Nord Kivu
  • Kinshasa:Tangazo toka kunako tawi la serkal y'America
  • Kinshasa:Heshima za muisho kwa marhemu Yerodia Ndombasi/sites/default/files/2019-03/01032019-a-s-journalswahilisoir17h00-00_0.mp3.