Journal swahili soir

  • Kinshasa:mjibu kuhusu kuachiliwa huru kwa wafungwa wa kisiasa
  • Kinshasa:Maandamano ya wafanya kazi ya kampuni ya uchukuzi SCTP , Onatra ya zamani
  • Kinshasa:maandam,ani ya waganga wa mahospitali ya serkali mjini Kinshasa
  • Kinshasa:maandamano ya wakaji wa Yumbi jimboni Maindombe
  • Uvira:Mazungmzo ya gemedari Amisi  KumbaTango For na viongozi wa mkoo ya Minembwe humo jimbo la Sud Kivu
  • Beni:Katibu mkuu wa muungano wa wapasha habri inchini Kongo anaalika wausika na upashaji wa habari wajitolee kwa kukomesha ugonjwa kwa virusi y'Ebola katika eneo ilo la jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Kuuunguzwa kwa kituo cha matibabu kwa ugonjwa wa Ebola pale Nziapanda -Mangurejipa,jimboni Nord Kivu
  • Kinshasa:Kikao cha kiongozi wa baraza la bunge la  mji jimbo la Kinshasa./sites/default/files/2019-03/14032019-a-s-journaswahilisoir-00.mp3