Journal swahili soir

  • Kinshasa:kutangazwa kwa uhuru wa Eugene Diomi Ndongala maoni ya shirika la kuteta haki za binaadamu ACAJ
  • Kinshasa:maoni ya chama cha upinzani Orange kuhusu kutajwa kwa viongozi maluum ya serkali ya Kongo ya kidemocracia
  • Kinshasa:Bibi Leila Zerougui mwenyezi wa kiti cha Monusco ana jityetea kuhusu makundi za silhaa kuparamia mashariki mwa Kongo
  • Beni:Shirika la kiraiaa la mji wa Beni lina sisitiza wakaji wa Beni wafike kwa uwingi kwa uchaguzi ya  tarhe makumi matatu namoja mwezi wa tatu
  • Bukavu:Maoni ya shirika la kiraia la mpya la mji wa Bukavu
  • Goma:wafungwa mnane wa jela la rutchuru wamefariki kwa uhaba wa vyakula humo jimbo la nord Kivu./sites/default/files/2019-03/19032019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3