Journal swahili soir

  • Kinshasa:amerudia inchini humu leo raissi wa jamuhuri Felix  Antoine Tshisekedi Tshilombo ametoka inchini America
  • Lubumbashi:Ahli mbovu kunako baraza la jimbo kati ya mashabiki wa Udps na wale wa pprd
  • Kinshasa:mapambano kati ya  mashabiki ya wagombea wauliwali na wa makamo wao
  • Kinshasa:Kujulishwa kwa wagombea uliwali katika jimbo la Kinshasa
  • Mbuji May:Kampeni kwa uchaguzi wa  Liwali kunako ofisi ya baraza la jimbo
  • Kisangani:Liwali kusitahiri ajili ya jimbo la Tshopo kwa ombi la Lucha
  • Kisangani:wamerudilia  shule wana funzi wa univasti ya Kisangani Unikis kiisha kubaki nyumbani mda wa miezi miwili./sites/default/files/2019-04/080419-a-s-journalswahilisoir-00.mp3