Journal swahili soir

  • Kinshasa:Mjibu wa raissi wa jamhuri kwa masemi ya muungano FCC
  • Kinshasa:Ceni tume huru inchini imetangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge wa jimbo na wa taifaa katika jimbo la Nord Kivu pa Beni na pya katika jimbo la Maindombe pa Yumbi
  • Kinshasa:Alikwa kwa amani ya muungano wa wabunge wa jimbo la kasai Oriental
  • Kalemie:wa mai mai Fimbo na fimbo walijisalimisha kwa viongozi wa kijeshi na wa polisi humo jimbo la Tanganyika
  • Bukavu:watu wanee waliuawa mjini Uvira katika jimbo la Sud Kivu
  • Goma:Kampeni ya kusisitiza watoto wenye kuiishi barabarani kuhusu ugonjwa kwa virusi y'Ebola
  • Matadi:Waziri wa afya jimboni Kongo Central ana tangaza kukomeshwa kwa ugonjwa wa Chikungunia./sites/default/files/2019-04/090419-a-s-journalswahilisoir-00.mp3