Journal swahili soir

  • Goma:muisho wa ziara ya kazi ya raissi wa jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo humo jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Safari ya kwanza ya ndege ya kampuni Rwandair ilishuka leo mjini Kinshasa leo kutoka mji wa Kigali inchini Rwanda
  • Kinshasa:Maandamano ya wapasha habari wa mji wa Kinshasa tele 50
  • Matadi:usumbufu wa wakaji wa eneo la Lukula katika jimbo la Kongo central
  • Bunia:Masambo ya kwanza kati ya Ceni na Bamanisa  kuhusu mizozo ya uchaguzi
  • Kinsu:zaidi ya wahami wa ndani elfu makumi nee wana iishi kwa tabu pale Punia jimboni Maniema
  • Kananga:yowe ya mbunge bi Eugenie Tshiela Kamba kuhusu maisha ya jamaa za kasai zenye zilikimbilia mjini Kikwit./sites/default/files/2019-04/170419-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3