Journal swahili soir

  • Kinshasa:raissi wa jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo mtaani Kalehe  katika jimbo la Sud Kivu
  • Kananga:watu mia moja maku i saba na saba wamefariki kwa suruwa katika jimbo la Kasai
  • Bunia:Jean bamanisa ametangajwa kiserkali Liwali wa jimbo la Ituri
  • Kinshasa:ripoti ya shirikisho la usika na upashaji wa habari na mahusiano CSAC
  • Matadi:Mgomo ya kazi wa madereva ya uchukuzi mjini matadi sababu ya kuongezeka kwa bey ya litri ya mafuta ya gari humo jimbo la Kongo central
  • Kinshasa:Kufariki kwa kiongozi wa zamani wa wasi wa FDLR Ignace Murwanashaka pa ugemani./sites/default/files/2019-04/19042019-a-f-journalswahilisoir17h00-00.mp3