Journal swahili soir

  • Kinshasa :Nani ndie bi Jeanine Mabunda alieteuliwa mwenye kti cha bunge la taifaa leo?
  • Kinshasa:Miezi mitatu ya uongozi wa raissi mpya Felix  Antoine Tshisekedi Tshilombo
  • Kisangani:Hotuba ya raissi kwa wakaji wa mji wa Kinsangani katika jimbo la Tshopo
  • Beni:baruwa ya manuunguniko ya waganga na wa huguzi wa vituwo vya kupinga Ebola katika jimbo la Nord Kivu
  • Beni:kushikwa na kutiwa nguvuni kwa wanao zaniwa kuwa viongozi wa shambulizi la kituo cha matibabu kwa Ebola kilitcho sababisha kifo cha mganga mmoja wa OMS
  • Kinshasa:muisho wa kutatuwa baruwa ya mizozo kuelekea uchaguzi inchini kunako korti ya kikatiba
  • Mbandaka :ukomvi wa udongo una pambanisha  wakaji wa Bosonalongo na wa Bosozaya jimboni Sud Ubangi./sites/default/files/2019-04/240419-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3