Journal swahili soir

  • Beni:Ebola, idadi ya watu kugonjwa imeongezeka katika majimbo za Ituri na Nord Kivu tangazo la waziri wa afya inchini
  • Beni:asilimia makumi mawili walinusurika kwa Ebola wana pata tatizo ya ugonjwa wa meco mbali mbali humo jimbo la Nord Kivu
  • Goma:matokeo ya mvua kali pa Nabiondo Masisi siku ya tano iliopita katuika jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa;hotuba ya mbunge wa UNC Crispin Mbindule
  • kinshasa:sikuu ya elimu inchini tarhe makumi matatu eipril
  • Kindu:siku kuu ya elimu ilisherekewa pya jimboni Maniema
  • Kinshasa:mazishi ya msaani wa kuchonga  Alfred Liyolo mjini Kinshasa./sites/default/files/2019-04/30042019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3