Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Kwanzishwa kwa kiako cha mara ya kwanza cha maliwali na wamakamo wao waliechaguliwa majimboni
  • Kinshasa:mjibu ya liwali wa jimbo la Lwalaba Richard Mangez Muyez
  • Kisangani:hotuba ya Martin Faylu mjini Kisangani katika jimbo la Tshopo
  • Bunia:wafugaji wa Mbororo wamehamia Haut Uele 
  • Goma:mapambano mpya katika mtaa wa Masisi jimboni Nord Kivu
  • Uvira:maendeleo ya mapambano katika milima ya Minembwe humo jimbo la Sud Kivu
  • Kinshasa:Mkasa ya moto katika kiwanda cha kutengeneza viberiti mtaani Limete katika jimbo la Kinshasa
  • Kinshasa:mapatano ajili ya ujenzi wa kilalo,barabara na njia ya gari la moshi kati ya miji Brazzaville na Kinshasa./sites/default/files/2019-05/13052019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3