Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:America ina jitolea kuuunga jamuhuri ya kidemocracia mkono kwa kupiganisha rushwa 
  • Kinshasa:shirika la mwana inchi OCIDEC lina kusudia solusho kwa kupiganisha  tabia ya rushwa
  • Lubumbashi:shirika la kutetea haki za binadam Justicia lina towa angalisho kwa raissi ajili ya watakao tumika katika serkali ii mpya
  • Kinshasa:kuhusu masambo ya mizozo kwa uchaguzi wa ubunge na wasenata,yanaendelea inchini humu
  • Bunia:wakajiwana hama vijiji vyao humo kando kando la ziwa Albert katika jimbo la Ituri
  • Kisangani:umate wa wafugaji Mbororo katika eneo la Haut Uéle 
  • Kinshasa:maandamano ya wamemba wa sanduku la mkopo na akiba Mecreco./sites/default/files/2019-05/21052019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3