Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Hotuba ya polisi ya taifaa kunako kiwanja cha kandanda tata Raphael mjini Kinshasa
  • Bunia:Watu wanee waliuawa katika shambulizi mpya la wanamgambo mtaani Djugu katika jimbo la Ituri
  • Goma:mazungmzo kati ya kiongozi ya monusco na kiongozi mpya wa barala la jimbo la Nord Kivukuhusu kupokonya silhaa na kujisalimisha kwa walie miliki silhaa
  • Kinshasa:kikao cha liwali wa jimbo la Haut Uéle 
  • Kisangani:ujeuri kiisha matokeo ya uchaguzi mtaani Yahuma
  • Lubumbashi :kikao na wapasha habari ya shirikisho AMK./sites/default/files/2019-05/22052019-a-s-journalswahilisoir17h00-00_0.mp3