Journal Swahili Soir

  • Bunia:watu sita waliuwawa kwa shambulizi la vijiji saba vya mtaa wa mahagi katika jimbo la Ituri
  • Matadi:kuuwawa kwa satu watatu usiku ya jana mtaani Kasangulu katika jimbo la Kongo Central
  • Goma:Swala kuhusu usalama, wagombea kiti cha uliwali mjini Goma walitetea miradi yao mbele ya wabunge  wa jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:kufunguliwa kwa kikaoya makumi manee na munane kya kamati ya umoja wa mataifaa ausika na usalama ya Africa ya kati
  • Kinshasa:tangazo la pamoja kanisa la kristu inchini Kongo na shirikisho la diocezi ya Kinshasa ajili ya uchaguzi ya mikoo na miji za jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Bukavu:hali imerudi tulivu mjini Bukavukiisha mvutano kutambulikana leo sababu ya maandamano ya wamemba ya UNC na UDPS
  • Kinshasa:kikao cha shirika la kutetea haki za bin adamAsadho mjini Kinshasa./sites/default/files/2019-05/28052019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3