Journal Swahili Soir

  • Kalemie :maandamano ya wakaji wa mji wa Kalemie humo jimbo la Tangayika 
  • Lubumbashi:mashirika za kutetea haki za bin adam zina shutumu masemi ya mbunge Donat Tshimboj
  • Kinshasa:matayarisho ya kilio ya Etienne Tsisekedi wa Mulumba
  • Kinshasa:hali ya vuta ni kuvuta mtaani Limete kwa kutayarisha kufika kwa mwili ya marhemu Etienne Tshisekedi
  • Kinshasa:Ujumbe ya maraisi wa sita kusubiriwa mjini Kinshasa
  • Kinshasa:kwa kutolea marhemu Etienne Tshisekedi heshima za muisho , leo tarhe makumi tatu mwezi wa tano Kinshasa mji bila kazi
  • Kinshasa:shirika la raia lina towa angalisho kwa raissi kwa kutumika na walio haribu haki za bin adam inchini humu 
  • MbujiMay:walifika muisho ya kazi kwenye kiwanda cha madini Miba jimboni Kasai wana uuzunishwa na kusito lipiwa mishara yao./sites/default/files/2019-05/29052019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3