Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Mahiti ya Etienne Tshisekedi imeacha nyumba ya wafu hospitalini Cinquantenaire  imefikishwa kunako kiwanja cha kandanda Martyrs des pentecotes mjini Kinshasa.
  • Kinshasa:Kufika kwa ujumbe wa maraissi wawili , w'Angola na wa Rwanda 
  • Kisangani:heshima za muisho kwa Etienne Tshisekedi 
  • Bukavu:kilio cha marhemu Etienne Tshisekedi, Sud Kivu wameanda kilio cha siku tatu
  • Kalemie:Kilio cha Etienne Tshisekedi Udps Kalemie pya kitadumu mda ya siku tatu
  • MbujMay: kukaribishwa kwa mwili ya marhemu  mjini MbujMay  pa kiwanja cha ndege Bipemba kama ilifanyika pa kiwanja cha Ndjili mjini Kinshasa
  • Beni:sha/sites/default/files/2019-05/31052019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3mbulizi mpya la wa Edf asubui ya leo pale mamiki mtaani Beni katika jimbo la Nord Kivu.