Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:benki ya kimataifaa ina tosha dola milioni mia tano nambili kwa kupunguza hatari kuletwa na afya na malisho mbovu inchini ya kidemocracia ya Kongo
  • Kinshasa:mazungmuzo kati ya kiongozi ya ofisi ya ya bunge na ujumbe wa benki ya kimataifaa 
  • Goma:wachimba madini watatu waliuawa pa Rubaya mtaani Masisi katika jimbo la Nord Kivu
  • Bunia:mji bila kazi sababu ya mashambulizi na kuuawa kwa wakaji
  • bukavu:Muisho ya kikao cha maskofu wa jimbo la eklezia ya Kivu./sites/default/files/2019-06/03062019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3