Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:profesa AndréMbata  ana jibu kwa masemi ya wafanya siasa ajili ya amri kusailiwa na raisi wa jamuhuri ya Kongo 
  • Beni:mji bila kazi kwa ombi la Lucha na watembeza pikipiki,kilio sababu ya kuuawa kwa wa raia na wa Edfhumo jimbo la Nord Kivu
  • Bunia:hali mbovu ya kiutu kwa wahami wa Djugu katika jimbo la Ituri 
  • Goma:hali mbovu ya kiutu katika eneo la Mpati na Kivuye Nyangi pa usultani wa Bashali Mokoto mtaani Masisi katika jimbo la Nord Kivu
  • Kananga:ripoti mpya ya watalhamu wa umoja wa mataifaa kuhusu ujeuri wa jimbo la Kasai
  • Kinshasa:ripoti ya CNDH kuhusu mauawaji kuendeshwa pa Yumbi katika jimbo la MaiNdombe
  • Kinshasa:kwanzishwa kwa kazi la shirika la Kongo lausika na umeme wa mazingira./sites/default/files/2019-06/05062019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3