Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:mwanzo ya mitiani ya serkali ya muisho ya shule la msingi inchini jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Lubumbashi:majuma matatu tangu waprofessa wamoja waligoma kazi katika univasti ya Lubumbashi jimboni Haut Katanga
  • Beni  :mji bila leo siku mbili kama ilikusudiwa na shirikisho la wendesha pikpiki sababu ya usalama ndogo
  • Goma:polisi ya taifaa ina tumika kwa shida pale Lukweti sababu ya uwingi ya kundi za kumiliki silha katika eneo ilo la jimbo la Nord Kivu
  • Uvira:Mazungmzo kati ya ujumbe wa Monusco na mawakilishi wa jamii za Bafuliru na Banyindu mtaani Uvira katika jimbo la Sud Kivu
  • Kinshasa:ripoti ya kazi toka kwa shirka Cafco kuhusu matokeo ya kazi ya uchaguzi uliofanyika inchini jamhuri ya kidemocracia ya Kongo./sites/default/files/2019-06/06062019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3