Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Ripoti ya Cogep ajili ya kiwanda cha madini Gecamines
  • Lubumbashi:wafanya kazi makumi mawili na munane wa TFM wamefukuzwa kazini sababu ya mazaifu ya muili
  • Bunia:Shambulizi la parokya Marie reine de Jiba na pya kijiji Kazba pale mtaa wa Djugu
  • Bunia:kutiwa nguvuni kwa anaye zaniwa kuwa muizi wa mfuko wa mbunge bi Eve Bazaiba
  • Beni:Kuachiliwa huru kwa wafanya kazi wawili kwenye  shirika la kiuutu Tear fund pa Lubero katika jimbo la Nord Kivu
  • Kananga:adisi ya uizi wa kiungu cha uzazi cha wna ume mjini Kananga./sites/default/files/2019-06/07062019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3