Journal Swahili Soir

  • Lumbubashi:maandamano ya wamemba ya chama Udps mjini Lubumbashi katika jimbo la Haut Katanga
  • Kinshasa:tangazo la MSF kuhusu ugonjwa wa suruba inchini jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo 
  • Beni:mgomo ya kazi ya madereva kutumika pamoja na timu za kupiganisha ugonjwa kwa Ebola humo jimbo la Nord Kivu
  • Bunia:Hali yenye kutambulikana pale Iga barriere mjini Bunia katika jimbo la Ituri 
  • Kindu:shirika la raia la Kabambare lina shutumu uwingi wa mipaka za kazi za serkali humo jimbo la Maniema
  • Matadi:agizo kuchukuliwa na liwali wa jimbo la Kongo Central kuhusu makamisa ya polisi kwa kupinga ujeuri ya watu wa silhaa jimboni humo./sites/default/files/2019-06/11062019-a-s-journalswahilisoiri-00.mp3   

Recevez Radio Okapi par email

Donnez votre adresse email dans ce formulaire afin de recevoir tous nos articles dans votre boîte email. Vous recevrez un message de confirmation avec un lien sur lequel il vous faudra cliquer afin que l'envoi d'emails devienne effectif.
Si vous ne voyez pas l'email de confirmation dans votre boîte de réception, allez chercher dans vos spams et marquez le message comme "non spam".  

Votre adresse email :

Service offert par FeedBurner