Journal Swahili Soir

  • Bunia :watu makumi matatu na munane waliuawa kijijini Tché katika mtaa wa Djugu humo jimbo la Ituri
  • Bunia:hakuna kazi kufanyika mjini Bunia kilio cha siku tatu  ajili ya ujeuri kuendeshwa kijijini Tché
  • Kinshasa:kikao cha Monusco kuhusu hali ya kisiasa kutambulikana inchini jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Uvira:waasi wanee  ya mwasi William Yakutumba waliuawa na jeshi la taifaa kwa mapambano ya pale Fizi kusini mwa jimbo la sud Kivu
  • Goma shirika la mwana inchi Lucha lina lazimisha urudiliwe kesi ya kuawa kwa  mwana memba wa Lucha Luc Nkulula mwaka moja umetimu
  • Kinshasa:maandamano ya kimia ya majamaa za waliwo tiwa nguvuni kwa kifo cha mzee laurent desire Kabila 
  • Kananga:tangazo la shirika la kutetea haki za binadam CNDH  kwa kupinga tabia ya wakaji kujilipishia kisasi./sites/default/files/2019-06/12062019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3