Journal Swahili Soir

  • Bunia:hali ya vuta ni kuvute pa mji kati ya Bunia katika jimbo la Ituri.watu mbili wameuawa
  • Kisangani hali ya mvutano pya mjini Kisangani katika jimbo la Tshopo
  • Goma:kuhama kwa watu wengi kutoka eneo la Nyamaboko ya kwanza na ya pili
  • Mbandaka:kiongozi wa baraza la bunge la Sud Ubangi ameondoshwa madarakani pya kwa uonogozo mbaya
  • Kananga:Siku kuu ya kusisitiza watu kuiishi na tatizo ya ngozi ya muili  ama wa kasa
  • Bukavu:miaka mikumi na miwili tangu kuawa kwa Serge Maheshe  mjini Bukavu katika jimbo la Sud Kivu
  • Kinshasa:kufariki kwa askofu Leon  Kalenga Badikebele  inchini Roma mwakilishi wa Papa wa roma Francois inchini Argentine./sites/default/files/2019-06/13062019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3