Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:wenyezi wa chama cha maendeleo wana kusudia Raissi aandae kikao cha wausika wote wa jamuhuri kwa kutatuwa shida kuletwa na korti ya kikatiba 
  • Kinshasa :kiako na wapasha habari kuandaliwa na Norbert Basengezi kiongozi makamu wa tume huru ya uchaguzi ambae amejiuzulu kazini
  • Bunia:shambulizi la mchana la gari la ushina pa Mambasaa katika mtaa wa Irumu jimboni Ituri
  • Beni:Shirika la raia la eneo la bapere lina shutumu  wa Mai mai kutambulikana katika eneo ilo la jimbo la Nord Kivu
  • Kananga:shambulizi la makao ya padri Kalamba  usiku ya jana kukuchia leo siku ya pili humo jimbo la Kasai Central
  • Lubumbashi:Fujo ilizika pa Kinsanfu katika jimbo la Lualaba./sites/default/files/2019-06/18062019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3