Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Mpangilio ya mitiani ya serkali ,maoni ya kiongozi ya jimbo la shule za Kinshasa mashariki
  • Bunia:Matayarisho ya kipekee ajili ya wana funzi wausika na swala la mitiani ya serkali wenye kutoka mtaa wa Djugu katika jimbo la Ituri
  • Goma:matayarisho ya kipekee ajili ya wana funzi wa jimbo la masomo la Oicha na lile la Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Kananga:Mizozo ya udongo mtaani Lodja una sababisha kuchomwa kwa nyumba zaidi ya makumi tisa pale jimbo la sankuru
  • Beni:polisi ya taifaa ilizuwiya shambulizi la wasi wa maimai pale Mukulya mtaani beni katika jimbo la nord Kivu
  • Kinshasa:Kikao cha usalama w'Africa kwandaliwa mjini Kinshasa tangu leo siku ya kwanza juni./sites/default/files/2019-06/24062019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3