Journal Swahili Soir

  • /sites/default/files/2019-06/25062019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3Kinshasa :matokeo ya mahakama ya kikatiba kiisha urekebishwa wa makosa kutambulikana kwa mizozo kwa uchaguzi 
  • Kinshasa:agizo za Cenco 
  • Goma:mwanzo mjini Goma wa kikao cha mara  pili cha vijana viongozi ya jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo 
  • Beni:Jeshi la taifaa wana jitolea kwa kusindikiza raia katika barabara Mabu Kamango humo jimbo la Nord Kivu
  • Kalemie:Hali mbovu mjini Kongolo kiisha kuvunja vizwizo vya kulipisha kodi ya barabara humo jimbo la Tanganyika 
  • Bunia:watu wawili walifariki kwa mizozo  kati ya jamaa.