Journal Swahili Soir

  • Kolwezi :zaidi ya watu makumi matatu wamefariki kwa muporomoko wa udongojimboni Lwalaba
  • Kalemie:zaidi ya mili mia tatu ziliogotwa na zika zikwa na shirika la msalaba mwekundu katika inchini jamhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Bunia:jeshi la taifaa lina ongoza mara tena ngome la wasi pale Wago mtaani Djugu katika jimbo la Ituri
  • Kinshasa:Matokeo ya kazi za kijeshi jimboni Ituri
  • Kinshasa:ziara ya kiongozi makamu wa benki ya kimataifaa nchini jamhuri ya kidemocracia ya Kongo
  • Goma:wabunge wa jimbo la Nord Kivu wana lazimisha kuvundjwa kwa atuwa kuchukuliwa na liwali wazamani na kwa liwali wa jimbo kwa mda
  • Kananga:Kibaruwa cha manuunguniko cha wanganga viongozi wa maeneo za afya kusimamishwa na liwali wa jimbo la kasai central./sites/default/files/2019-06/27062019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3 

Recevez Radio Okapi par email

Donnez votre adresse email dans ce formulaire afin de recevoir tous nos articles dans votre boîte email. Vous recevrez un message de confirmation avec un lien sur lequel il vous faudra cliquer afin que l'envoi d'emails devienne effectif.
Si vous ne voyez pas l'email de confirmation dans votre boîte de réception, allez chercher dans vos spams et marquez le message comme "non spam".  

Votre adresse email :

Service offert par FeedBurner