Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Professa Botakili kuhusu agizo la shauri ya serkali la kuvunja uchaguzi wa Liwali ya jimbo la Sud Ubangi
  • Kalemie:Kutangazwa kwa serkali ya Zoe Kabila , Udps\Tshisekedi ina nuungunika na ubaguzi kutambulikana upande wao
  • Beni:Hotuba ya Mbusa Nyamuisi mjini Butembo katika jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Liwali wa mji jimbo la Kinshasa ana puuzi baruwa ya rusaa ya maandamano kuandaliwa muna mo tarhe makumi tatu juni na shirikisho LAMUKA
  • Bunia: Matokeo ya kazi za kijeshi kando kando la ziwa Albert 
  • Bunia:shirika la raia la Kpandroma limalika siku tau za kilio ajili ya wahanga wamauwaji wa raia  na jeshi la taifaa humo jimbo la Ituri.
  • Goma:Ukadirisho ya kazi kuendeshwa na STAREC
  • Kisangani:Kikao Enabel ajili ya kazi za ufunguzi wa jimbo la Tshopo./sites/default/files/2019-06/28062019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3