Journal Swahili Soir

  • Bunia:Raissi wa jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo aliwasiri katika eneo la Djugu jimboni Ituri
  • Bunia:Mkuu wa nchi anaalika wakaji wa jimbo la Ituri waache vurugu ajili ya amani na maendeleo ya jimbo la Ituri
  • Kinshasa:polisi imetangaza matokeo ya maandamano ya jana katika majimbo matatu za nchi
  • Bukavu,mikasa ya moto iliripuka mtaani Kadutu ikasababisha kifo cha mtu mmoja na pya majamaa mia nee zimebaki bila makao humo jimbo la Sud Kivu
  • Kananga:Vifaa vya kujisaidia viligawanywa kwa wahanga wa ujeuri wa Kamuina Nsapu katika jimbo la Kasai central
  • Kinshasa:Mitiani ya kitaifaa ya kulazimisha Kifaransa Mununu Kimbembi ndie mshindi./sites/default/files/2019-07/01072019-a-f-journalswahilisoir17h00-00.mp3

Recevez Radio Okapi par email

Donnez votre adresse email dans ce formulaire afin de recevoir tous nos articles dans votre boîte email. Vous recevrez un message de confirmation avec un lien sur lequel il vous faudra cliquer afin que l'envoi d'emails devienne effectif.
Si vous ne voyez pas l'email de confirmation dans votre boîte de réception, allez chercher dans vos spams et marquez le message comme "non spam".  

Votre adresse email :

Service offert par FeedBurner