Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:AFDC-A katika uchaguzi wa Thambwe Mwamba kama mgombea wa Fcc kunako seneti
  • Uvira:mapambano kati ya kundi za silhaa misituni Itombwe mtaani Mwenga katika jimbo la Sud Kivu
  • Bunia:wahami wa tisa waliuawa wiki hii na washambuliaji wa mtaa wa Djugu katika jimbo la Ituri 
  • Bukavu:Jamii ya Kalehe lina dai kurudikwa wa FDLR nchini kwao Rwanda hawa wana tambulikana tena kuwa wengi katika eneo ilo
  • Kinshasa:Emery Okundji waziri wa EPSP kwa mda ana funga mwaka wa masomo na kuanda kufunguliwa kwa mwaka mwengine 
  • Goma:semina la jimbo ndogo kuhusu nguvu za umeme vijijini mwa jimbo la Nord Kivu./sites/default/files/2019-07/03072019-a-f-journalswahilisoir17h00-00.mp3 

Recevez Radio Okapi par email

Donnez votre adresse email dans ce formulaire afin de recevoir tous nos articles dans votre boîte email. Vous recevrez un message de confirmation avec un lien sur lequel il vous faudra cliquer afin que l'envoi d'emails devienne effectif.
Si vous ne voyez pas l'email de confirmation dans votre boîte de réception, allez chercher dans vos spams et marquez le message comme "non spam".  

Votre adresse email :

Service offert par FeedBurner