Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Korti ya Katiba imeanzisha kutangaza matokeo ya urekebisho 
  • Bunia:afisa wa jeshi la taifaa alihukumiwa kifo kwa ajili ya mauaji ya mkewe
  • Goma:Mkutano kati ya gavana na naibu mwakilishi maalum
  • Kindu:mji wa Kindu bila maji ya kunywa au pya umeme  kwa siku nnee
  • Kalemie:mvutano kati ya kampuni ya China na ya Crec-9huko Manono katika jimbo la Tanganyika
  • Bukavu:maandamano ya harakati za wananchi sabau ya kodi ya franga mia tano ya kongo na bandari humo jimbo la Sud Kivu /sites/default/files/2019-07/04072019-a-f-journalswahilisoir17h00-00.mp3