Journal Swahili Soir

  • Bunia :Shambulizi la wana mgambu pale Mambisa lilisababisha kifo cha watu saba humo jimbo la Ituri
  • Beni:watu watatu waliuawa katika eneo la Eringet katika jimbo laNord Kivu 
  • Goma: kanda la makumi tatu la kijeshi lina omba mapatano kati ya wakaji na jeshi kua kunasa wajambaji kuwatatiza
  • Bukavu:mjibu ya jumuiya ya makubaliano ajili ya mazingira 
  • Kinshasa:Licoco imeanzisha kampeni ya kupinga rushwa
  • Kinshasa:maandamano ya wafanya kazi wa wafanya byashara wa Indopakistani
  • Kinshasa:Baruwa ya Nono Lutula./sites/default/files/2019-08/05082019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3