Journal Swahili Soir

  • Goma:Kikao cha mawaziri wa afya kutoka Rwanda na DRC ajili ya kuaanda utetezi wa pamoja kwenye OMS
  • Beni:raia wawili waliuawa kwa shambulizi mpya la Edf mtaani beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Hotuba ya mbunge wa taifaa Paul Muhindo
  • Kananga :Msiba ya mail mtoni Lukenyi katika jimbo la Kasai imesababisha kufariki kwa watu zaidi ya kumi
  • Zongo:umate wa watu umebaki bila makao kwa mvua kali iliyonyesha mjini Zongo  katika jimbo la Sud Ubangi
  • Bunia:Munyonyomoko wa udongo mtaani Mungwalu umesababisha kifo cha watu watano
  • Matadi:mwanzo ya kazi ya ujenzi wa chumba cha kuchunga maiti kwenye hospitali kuu la seke Banza jimboni kongo Central./sites/default/files/2019-08/06082019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3