Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Mgomo ya kazi wa maprofessa za chuo kikuu cha Kinshasa, maoni ya wana funzi
  • Bunia:watu saba walifariki katika mapambano ya jeshi la taifaa pale Libu mtaani Djugu katika jimbo la Ituri
  • Beni:Muisho ya kazi ya uchunguzi kuhusu kuuawa kwa mganga mzaliwa wa ukamerouni kwenye OMS alieuuawa mjini Butembo katika jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Raia wa sita waliuawa usiku ya jana pale Mbau katika jimbo la Nord Kivu
  • Goma:Uchunguzi nguvu kwa kuvuka pale pa mpaka wa petite barriere kati ya Gisenyi na Goma sababu ya Ebola 
  • Kananga:wevi wa silhaa katika ukumbi wa akina  dada bikira vya kikatolika kamponde jimboni Kasai central./sites/default/files/2019-08/08082019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3