Journal Swahili Soir

  • Kananga:wawu wawili waliuuawa na manyumba makumi mawili zilichomwa kijijini Ongela mtaani Lodja katika Sankuru
  • Goma:Mjibu ya wana siasa wateuliwa wa Beni wanapoiishi mjini Goma,kuhusu mauuaji mpya ya raia mtaani Beni  katika jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Ujumbe ya  ausika na kupiganisha janga la Ebola kwenye OMS daktari Michel Yao
  • Kananga:Ugonjwa wa surua una tatiza watoto katika eneo zote za afya za jimbo la Kasai central
  • Kinshasa:Mjibu wa waziri wa vyuuo vikuu kuhusu mgomo wa ma professa ya chuo kikuu cha Kinshasa
  • Kinshasa:Muisho ya utangazaji wa matokeo ya mitiani ya serkali./sites/default/files/2019-08/09082019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3