Journal Swahili Soir

  • Goma:wagonjwa wawili wameponywa kwa Ebola  mjini Goma katika jimbo la Nord Kivu
  • Bunia:mgonjwa mmoja amefariki kwa Ebola pa Mambasa,kilituma wakaji wanaadamana katika eneo ilo la jimbo la Ituri
  • Bunia:Utaratibu wa kablaa ya kukamatwa viongozi wa wassi wanaomba msamaha kwa madhara yoyote yaliyo sababishwa
  • Kinsahsa:Uwasilishaji wa orodha za mawaziri kwa Raisi
  • Kinshasa: Mjibu wa mwana chama wa serikali  kwa sutuma za Acaj
  • Kinshasa:Lalamko la wanawake wa Inga katika jimbo la Kongo Central./sites/default/files/2019-08/13_08_2019_bunia_i_frpi_demande_pardon_en_swahili.mp3