Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Kufungua upya kwa usafirishaji Kinshasa-Kasangulu
  • Goma:Daktari Muyembe ana fasiria kuhusu molekuli mbili nyipya kwa matibabu kwa virusi y'Ebola
  • Kalemie:Kuripuka tena kwa kipindu pindu mjini Kongolo, watu waili wamefariki na wengine kumi na saba wana tizamwa katika hospitali kuu la Kongolo
  • Bunia:mashule makumi matatu ziliuunguzwa moto wakati wa mauuaji ya pale Djugu jimboni Ituri
  • Beni:Kamati ya wana funzi inaalika vijana kwa mafunzo ya kujilinda ya kijeshi kwa kupambana na Edf
  • Kananga:mvutano jana kati ya wakaji wa kijiji Lema na wale wa Okondo pa Sankuru./sites/default/files/2019-08/14082019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3