Journal Swahili Soir

  • Beni:sherehe ya kuchukuwa silhaa ya kamanda mpya Sokola ya kwanza aliyengozwa na mkuu wa wafanya kazi huko jimbo la Nord Kivu
  • BeniMkuu wa ofisi ya Monusco juu ya msaada wa Monusco kupigana na ADF jimboni Nord Kivu
  • Bunia:Maazimio ya mkutano wa  wakabila Hema huko Bunia juu ya msiba wa Djugu katika jimbo la Ituri
  • Uvira:Ukosefu wa usalama katika eneo ya juu ya minembwe , watu watatu waliuawa na vikosi vya watu wenye silaha
  • Kinshasa:barua kutoka SG ya EPSP kuhusu utumizi wa bure
  • Kinshasa:maandamano pa Gbadolite kwenye serikali./sites/default/files/2019-08/29082019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3