Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Baraza la kwanza la mawaziri na raisi Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo
  • goma Mkutano mkuu wa Wakuu wa majeshi ya nchi za jimbo ndogo la Maziwa makuu huko Goma
  • Bunia:kuzuka kwa wanamgambo usiku huko Djugu kijiji cha lokpa watu wawili waliuawa
  • Beni:Shirika la vyombo vya habari la Oicha lilitangaza siku bila redio kando la wilaya ya Beni humo jimbo la Nord Kivu
  • Kananga:warejea kutoka Angola waliandam,ana asubui ya leo kiini ,kifo cha mmoja wao kwa sababu ya hali mbaya ya maiisha
  • Kinshasa:kufunguliwa mara tena kwa barabara Luambo Makiadi ,yani barabara Bokasa ya zamani
  • Kinshasa:Kufariki kwa mwandishi wa zamani wa habari kwenye  redio OkapiSylvstre Kilolo./sites/default/files/2019-09/13092019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3