Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:ziara ya raisi Felix Antoine Tshisekedi Tsilombo kwenda Ubelgiji
  • Goma:waziri wa afya katika ziara ya kazi jimboni Nord Kivu
  • Bukavu:Madaktari jimboni Sud Kivu wameamuwa huduma mdogo katika hospitali sababu ya kuawa kwa daktari mmoja pa mji mdogo wa Uvira
  • Kinshasa:Bure ya masomo ya msingi,mafasirio aidi na waziri ausika
  • Kisangani:mafundisho ya bure, hali ya shule ya binafisi
  • Kinshasa:Ukarabati wa barabara ya Kimwenza mtaani Mt Ngafula./sites/default/files/2019-09/17092019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3