Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Naibu waziri mkuu Gilbert Kankonde ameuwasilishwa mbele ya vikosi vya polisi na kamissa mkuu gemedari DieudonnéHamuli mjini Kinshasa
  • Kindu:Mchakato wa amnai huko Salamabila umezuiliwa na kuondola kwa kampuni ya BANRO na kutokuheshimia makubaliano
  • Kinshasa:Mgomo wa walimu wa huko Mt Amba mjini Kinshasa
  • Bukavu:Mgomo wa walimu wa shule za ukatolika katika jimbo la Sud Kivu
  • Kinshasa:Ong Justicia inalaani kufungwa kiyolela cha jean Pierre Muteba wa jamii ya Lubumbashi
  • Bunia:Kufunga operesheni ya matibabu ya bure ya wanawake wanaougua fistula jimboni Ituri
  • Kinshasa:baada ya mvua./sites/default/files/2019-09/25092019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3