Journal Swahili Soir

  • Kinshasa :mgomo wa mashule zimoja zimoja za mji wa Kinshasa
  • Kinshasa:mradi wa kisasa wa shule ya serikali jimboni Kinshasa
  • Bunia:kiongozi wa mkutano wa proana omba serikali ya pro kujadili na kikundi cha silhaa CODECO ili kurejesha  amani mtaani Djugu katikajimbo la Ituri
  • Beni:kwa mara tena jeshi linawaiita wamai mai kuweka silhaa yao kusini mwa Lubero katika jimbo la Nord Kivu 
  • Kindu:Kiongozi wa seneti kuhusiana na kusimamishwa kwa shuguli za Banro kwa sababu ya kiusalama
  • Goma:Kufungua tena jana kwa kituo cha byashara cha SAKIMA huko Rubaya katika jimbo la Nord Kivu./sites/default/files/2019-10/01102019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3