Journal Swahili Soir

Kinshasa:kikao cha waandishi wa habari na bi Leila Zerougui

Bukavu:kutokuwa na usalama huko Shabunda, ofisi ya usika na ukarabati wa barabara imesimamisha shuguli zake 

Goma:Mgomo katika shule kadhaa maandamano asubui ya wana funzi mbele ya liwali wa jimbo la Nord Kivu

Kinshasa:Transco imesimamisha mistari nee ya ma basi kuenda kunako chuo kikuu cha Kinshasa

Kinshasa:Mkataba wa itafika ya saiini juu ya umuhimu wa mahindi

Lubumbashi:Meya wa mji ana toa wito kwa wakazi waheshimie kaburi

Kinshasa:Kikao cha kamati ya mkutano wa uratibu CLC./sites/default/files/2019-10/03102019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3