Journal Swahili Soir

Kinshasa:uharibifu wa mvua ilionyesha asubhui ya leo mjini Kinshasa

Goma:Hali ya kibinadamu ni mbovu huko Mwesso katika jimbo la Nord Kivu

Bunia:Wagonjwa zaidi kumi na nee waliopona wa Ebola wanaondoka katika kituo cha matibabu humo jimbo la Ituri

Butembo:kupunguka kwa kesi ya Ebolakatika eneo ilo la jibmo la Nord Kivu

Matadi:Vipimo vya kesi ya surua katika maeneo saba ya afya kati ya maeneo makumi matatu na moja ya jimbo la Kongo central

Lubumbashi:Wafanya biashara wa sekta ya madini wana lalamika upotezaji kwa sababu wa umeme

 Lubbumbashi:Solomon Kalonda wa chama cha PND akisalimia pasipoti yake humo jimbo la haut Katanga./sites/default/files/2019-10/09102019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3