Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Uzinduzi wa mradi ya raisi ya pamoja ya kupmbana na na umasikini na kukosa usawa .
  • Kananga:kuhusu ajali ya ndege ya uraisi
  • Bunia:changamoto katika mapamano dhidi ya ebola mtaani Mambassa katika jimbo la Ituri
  • Butembo:Mratibu wa timu ya majibu ya Ebola anazungmza juu ya vituo viwili vilivyozinduliwa 
  • Beni:Mkutano wa waandishi wa habari wa MSF juu ya umuhimu wa chanjo hiyo mpya dhidi ya Ebola
  • Beni:Ziara ya balozi wa Ufaransa katika kituo cha matibabu cha Ebola./sites/default/files/2019-10/16102019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3