Journal Swahili Soir

  • Beni:Wapiganaji wa Mai mai zaidi ya mia sita kugusanywa pale Kalunguta wakingojea kuhamishwa Kanyama Kasese  katika jibmo la haut Lomami 
  • Bukavu:shauri la mkuu wa Monusco kwa viongozi wa Minembwe
  • Bunia:Shambulio la Mai Mai mazembe  katika eneo la Lwemba
  • Lubumbashi:Liwali mteuliwa wa Sakania  ana zungmzia juu ya shida humo jimbo la Haut Lomami
  • Kinshasa:Mkutano wa uwakilishi wa serikali ya Merika na OSCEP
  • Beni:marufuku ya malipo ya ada yoyote katika shule za Beni humo jimbo la Nord Kivu/sites/default/files/2019-10/18102019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3