Journal Swahili Soir

  • Bunia:waasi kumi na tatu pamoja na jeshi wawili wa taifaa waliuawa wakati wamapigano ya huko Baiti katika jimbo la Ituri
  • Beni:harakati za wakaji wa kusini mwa mtaa wa Lubero wakiofya maiisha yao humo jimbo la Nord Kivu 
  • Kinshasa:Kuzuka kwa surua katika jimbo la Kwango
  • Kananga:kuongezeka kwa bei ya mahindi katika jimbo la kasai central
  • MbujMay:kugunduliwa kwa ngunia za mahindi ndani yagala ya mji Mbuj May
  • Kindu:Shirika la LJDH linalaani kupanda kwa bei ya tiket na kukosekana kwa ndege za Congo Air Ways jimboni Maniema./sites/default/files/2019-10/29102019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3